Hukumu za Kifikihi Zinazowahusu Wanawake

 

 
 
 
 
Hukumu za Kifikihi Zinazowahusu Wanawake

List Price: $7.99 

 
 

Hukumu za Kifikihi Zinazowahusu Wanawake

 

 

 

Authored by Mustafa Ranjbar Shirazi 

Ni jambo la wajibu juu ya kila mtu kujiunza masiala ambayo yanamtokea mara kwa mara." (Hii ni kauli ya wanavyuoni wa kifikihi iliyodondolewakutoka vitabu vya fatwa au hukumu za kifikihi). Hakika kipindi cha ujana kinahesabika kuwa ndiyo fursa yenye thamani katika kujipatia maarifa na kuyavuta kutoka kwenyvyanzo vya elimu ambavyo mtu atafidika navyo muda wote wa uhai wake. Kila umri wa mwanadamu unavyosonga mbele, ndivyo majukumu yake yanavyozidi na maisha yake kuwa na msongamano. Kwa hali hiyo, basi hukosa fursa ya faragha itakayoruhusu kujifunza yale yanayomlazimu miongoni mwa hukumu za sheria za Kiislamu, na maoni ya wanavyuoni wa sheria, ambazo nyingi miongoni mwa hizo huenda atazihitaji katika maisha yake hapo baadaye. Bila shaka mwanadamu anahitaji kuwa na wigo katika kufanya mabadiliko ya kibinadamu ndani ya safari yake ya maisha.This book is one of the many Islamic publications distributed by Ahlulbayt Organization throughout the world in different languages with the aim of conveying the message of Islam to the people of the world. Ahlulbayt Organization (www.shia.es) is a registered Organization that operates and is sustained through collaborative efforts of volunteers in many countries around the world, and it welcomes your involvement and support. Its objectives are numerous, yet its main goal is to spread the truth about the Islamic faith in general and the Shi`a School of Thought in particular due to the latter being misrepresented, misunderstood and its tenets often assaulted by many ignorant folks, Muslims and non-Muslims. Organization's purpose is to facilitate the dissemination of knowledge through a global medium, the Internet, to locations where such resources are not commonly or easily accessible or are resented, resisted and fought! In addition, For a complete list of our published books please refer to our website (www.shia.es) or send us an email to This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Publication Date:
Nov 12 2015
ISBN/EAN13:
1519258151 / 9781519258151
Page Count:
34
Binding Type:
US Trade Paper
Trim Size:
8.5" x 11"
Language:
English
Color:
Black and White
Related Categories:
Religion / General